Tunamshukuru Mungu kwa pamoja kuzidi kukua Mungu awabariki na kuwalinda.Hongera familia ya KK --- On Wed, 10/17/12, Frank Tilugulilwa <tilug...@gmail.com> wrote: |
|
Tunamshukuru mungu kwa ujio wa Mwanafamilia mpya - Abraham Augustine.
Mimi na familia tunawashukuru sana wana pamoja kwa sala zetu.. Mungu awabariki sana.
Sasa hivi mgeni na mama yake wapo Mbweni na wanatarajia kurudi msewe around wiki ya pili ya November.
Weekend njema kwenu nyote pamoja na familia zenu.
Kazikupenda Chale,
Tembea Tanzania ¦ tembeatz.blogspot.com,
+255754711019