You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to TwendePamoja
Wapendwa;
Familia ya Bw. na Bi Denice Cyprian wamepatwa na msiba wa Baba Mzazi wa Sarah. Amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10 Julai 2014 huko Lushoto. Sarah alikwishatangulia Lushoto katika kumuuguza na Denis anaanza safari kesho kwenda kwenye mazishi.
Kwa taarifa zaidi Piga 0653 36 30 49
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa, Jina lake Lihimidiwe.
Poleni sana wafiwa.
M/KITI PAMOJA
jimmy mbelwa
unread,
Jul 12, 2014, 9:34:44 AM7/12/14
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to twende...@googlegroups.com
Tunawapa pole familia ya Bw. na Bi Denice Cyprian kwa kuondokewa na baba yetu mpendwa.