Updates : Msiba wa Mama Mzazi wa Kazikupenda Chale
8 views
Skip to first unread message
Frank Tilugulilwa
unread,
Jun 3, 2014, 4:11:19 AM6/3/14
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to twende...@googlegroups.com
Wapendwa ,
Kama nilivyokwisha wataarifu kwa njia ya SMS jana; Bw. Kazikupenda Chale
amefiwa na mama yake mzazi jana mchana.
Msiba uko kwa Bw. na Bi. Kazikupenda Chale, Ubungo Msewe.
Mama ataletwa nyumbani Msewe kesho Jumatano na kutakuwa na ibada ndogo
kwa majirani na wanafamilia.
Mazishi yatafanyika siku la Alhamisi katika makaburi ya Kinondoni;
yatatanguliwa na Ibada ya kumuombea na kumuaga mama yetu pale St. Peters
(Oysterbay)
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa
Wenu
Frank Tilugulilwa
jimmy mbelwa
unread,
Jun 3, 2014, 4:20:27 AM6/3/14
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to twende...@googlegroups.com
Pole KK na familia nzima kwa kuondokewa na Mama yetu mpendwa.