Tukio la wizi

1 view
Skip to first unread message

edward mwangile

unread,
Jul 7, 2013, 8:23:11 AM7/7/13
to TwendePamoja

Habarini wanapamoja.

Wenzetu Familia ya Bwana na Bibi Bakuza wamekumbwa na mkasa wa kuibiwa pesa na baadhi ya vifaa vya electroniki kwenye eneo lao la biashara ambalo wote nadhani mnalifahamu.

Kama mtakumbuka hii ni mara ya pili kwa tukio la namna hii kutokea kwao.Kama pamoja tunatoa pole kwa familia, maana tukio la namna hii linarudisha nyuma maendeleo kwa ujumla.

Wasiliana na familia ya Bakuza kupitia 0769210202.

--
Thanks and Regards

Edward.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages