Marejesho Ya Mikopo

4 views
Skip to first unread message

Frank Tilugulilwa

unread,
May 3, 2014, 1:00:38 PM5/3/14
to twende...@googlegroups.com
Ndugu Wana Pamoja -

Tumeanza zoezi la kukiibua chama.
Nimeambatanisha madeni ya watu wote (mikopo tu) ambayo yanatakiwa
yarejeshwe kabla ya tarehe 31 May 2014 ambapo tutakuwa na kikao cha
wanachama kuangalia utekelezaji wa agizo hili.
Ifahamike kwamba, wanachama katika kikao cha tarehe 1 Mei 2014
wameridhia kufuta wanachama wote ambao hawatarudisha mikopo yao ambayo
mingi ni zaidi ya miezi 12 tangu wakope.

Ieleweke kwamba kufutwa kwako uanachama hakumaanishi hutaendelea kudaiwa.

Orodha ya pili tunayoiandaa ni ya michango ya kila mwezi. Itakuja kwenu
mda wowote kuanzi sasa na utekelezaji wake utaenda sambamba na zoezi la
urudishaji wa mikopo.

NB: Kama kuna matatizo yoyote kwenye hii orodha (ya kimahesabu)
tafadhali tujulishe mapema; kupitia hapa hapa kwenye mailing list (sio
private)

Wenu
M/KITI kwa niaba ya Kamata Tendaji
Mikopo Mei 3, 2014.xls

Denice Kamugumya

unread,
May 4, 2014, 2:06:04 PM5/4/14
to twende...@googlegroups.com
Asante kwa taharifa M/kiti, na hongera sana kwa juhudi za kufufua chama.

Ntakuwa nikiungana nanyi siku si nyingi. Binafsi nina imani kubwa chama kitapata uhai tena.

Pamoja tutaweza!

Denice
--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Twende.Pamoja" group.
To post to this group, send email to Twende...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/TwendePamoja?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Twende.Pamoja" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to twendepamoja+unsub...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


Mary

unread,
May 8, 2014, 9:23:49 AM5/8/14
to twende...@googlegroups.com, twende...@googlegroups.com
Asante kwa taarifa Mwenyekiti Kama nilivyokuwa nimewasiliana na kamati ya uongozi kuhusu kumbukumbu zangu za mkopo, nitamalizia kulipa hilo jumamosi tarehe 10 Mei..
Asante, Mama Kalungi...
Sent from my iPhone
> --
> --
> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups "Twende.Pamoja" group.
> To post to this group, send email to Twende...@googlegroups.com
> For more options, visit this group at
> http://groups.google.com/group/TwendePamoja?hl=en
> --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Twende.Pamoja" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to twendepamoja...@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> <Mikopo Mei 3, 2014.xls>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages