Taarifa ya msiba

3 views
Skip to first unread message

edward mwangile

unread,
Apr 4, 2013, 5:26:48 AM4/4/13
to TwendePamoja
Wapendwa,

Nasikitika kutoa taarifa kuwa Familia ya Bw. na Bi Frank Tilugulilwa wamepatwa na msiba wa mama yao mpendwa(Mama wa mama Kalungi) .Msiba umetokea huko Bukoba na mazishi yatafanyika huko.Unaweza kuwasiliana na Frank kupitia namba 0767000255.

Kwa leo watakuwa Tabata na wanatarajia kusafiri kuanzia kesho, tufike pale kuwafariji ndugu zetu katika wakati huu mgumu.

Poleni sana Familia ya Bw. na Bi. Frank Tilugulilwa mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa,Jina la bwana lihimidiwe.


Katibu.

jimmy mbelwa

unread,
Apr 4, 2013, 5:46:21 AM4/4/13
to twende...@googlegroups.com
Tunawapa pole kwa kuondokewa na mama yetu mpendwa. Tunawaombea kwa Mungu awafariji katika kipindi hiki kugumu cha majonzi

Jimmy, Loveness na John




From: edward mwangile <egs...@gmail.com>
To: TwendePamoja <Twende...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, 4 April 2013, 12:26
Subject: [Twende.Pamoja] Taarifa ya msiba

--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Twende.Pamoja" group.
To post to this group, send email to Twende...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/TwendePamoja?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Twende.Pamoja" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to twendepamoja...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages