Katibu/Mwenyekiti
Jana, wakati wa sikukuu ya Iddi niliamini kuwa ndiyo siku tungekwenda kuwaona wazazi, asubuhi yake nikajiridhisha kwa kurudia kusoma email ya M/kiti. Nikakuta emal ile kimsingi inatutaka kwenda leo, Jumamosi ya tarehe 27 Oktoba 2012. Habari ya nini cha kwenda nacho huwa inakuwa resolved tunapokutana. Hapa Katibu alitakiwa ku-dictate terms za wapi pa kukutana tu kisha wajumbe tunakuja. Kusiwe na demokrasia nyingi kihivi.
Kwa sasa naona inaeleweka kwamba leo tunaahirisha kwa vile watu hawajajibu email, ni sawa ila ikiamriwa kivingine kwangu mimi hata leo hii tunakwenda. Ikishindikana basi isizidi Jumamosi next week.
Frank A. Mugogo
---------------------------------------------
+255 754/784 81 9993