Malimbikizo ya michango ya kila mwezi

2 views
Skip to first unread message

Frank Tilugulilwa

unread,
May 7, 2014, 11:01:21 AM5/7/14
to TwendePamoja
Wapendwa Wana Pamoja

Nimeambatanisha malimbikizo yetu ya michango ya kila mwezi;
Katika kikao cha dharura kilichopita, wajumbe walipitisha azimio kuwa malimbikizo
yote yawe yamerejeshwa kabla ya tarehe 31 May 2014, siku ambapo tutakuwa na kikao kingine cha dharura pale Blue Pearl Hotel, Saa 9 kamili alasiri.

Kama kutakuwa na marekebisho, au ufafanuzi wowote, tutaujadili siku ya kikao.

M/KITI kwa niaba ya Kamati  ya Utendaji
Ada_Malimbikizo.docx
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages