mbarikiwe

5 views
Skip to first unread message

anna woiso

unread,
Jul 21, 2007, 4:27:35 AM7/21/07
to ljsclas...@googlegroups.com
Halloo ndugu wapendwa natumai wote ni wazima, maana ni muda mrefu wanakondoo wengine hatujaonana. lakini kwa vile Mungu yu pamoja nasi i hope kuna siku tutakusanyika. Hongera sana dada Bhoke kwa kupata mwenzi wako Mungu akutangulie.
Hongera sana na wengine wote kwa hatua mlizopiga.
Mungu awabariki.
Luv anna.


Fussy? Opinionated? Impossible to please? Perfect. Join Yahoo!'s user panel and lay it on us.

Tulakemelwa Mhamilawa

unread,
Jul 21, 2007, 10:02:45 AM7/21/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Nawasalimu wote ktk jina la bwana.
 
Hongera sana Bhoke! Tunakutakia kila la kheri ktk maandalizi na maisha mapya utakayoanza.Karibu kwenye chama!
 
Anna upo?Tuwasiliane kuhusu ile khabari basi mshkaji.Mi nakusikilizia...
 
Tula.


anna woiso <anna...@yahoo.com> wrote:

Get the Yahoo! toolbar and be alerted to new email wherever you're surfing.

Mtindo Shilla

unread,
Jul 22, 2007, 7:18:37 PM7/22/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Habari zenu wote :-)
Tula na Anna, nafurahi kusikia kutoka kwenu..siku nyingi sana wapendwa..
Bhoke pole na shughuli za maaandalizi tupo pamoja kimaombi.. Rhobi(Mwenza) mzima?
Katibu naomba salamu zikufikie hapo ulipo.
Wanadarasa wengine wote Mungu awabariki,
Mty
 

Lilian Nsyenge

unread,
Jul 23, 2007, 4:14:53 AM7/23/07
to LJSclas...@googlegroups.com



Dada Anna! imekuwa njema kusikia toka kwako. Nimefurahi sana. Dada Tula habari za siku mingi? nimefurahi pia kukusikia mtandaoni. Kaka braille asante kwa taarifa. Mungu awabariki. week njema.

From:  anna woiso <anna...@yahoo.com>
Reply-To:  LJSclas...@googlegroups.com
To:  ljsclas...@googlegroups.com
Subject:  [LJSclassof2000] mbarikiwe
Date:  Sat, 21 Jul 2007 01:27:35 -0700 (PDT)


Express yourself instantly with MSN Messenger! MSN Messenger Download today it's FREE!

braille

unread,
Jul 23, 2007, 11:30:19 AM7/23/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Nimefurahi kusikia toka Kwa Anna W.  Ni baraka tele kusikia toka kwenu wana 2000 lljs class. Mimi sina jipya nawatakia wiki njema na mafanikio tele.
 L Tunu, Mtindo, Shubi na Lily   nawashuku kwa salamu natumaini habari za kikao zimefika kwa wali ambao mmeshaongea nao, natuzidi kusemezana, kuomba na kushukuru pamoja.
 
Res, Naona sikupati hewani, Bernad na Walter M. Umebadili # za simu?
 
Frank S. Mbona kimya mchungaji wa India umebanwa na shughuli?
 
Mshauri nasaha na mambo ya ndoa ndugu Jitu, Viiipii Kazi inakua nzito?
 
Dr, King, Mawala, Dango, Barnabas naona swalazima la mawasiliano halichangamani na kazi zenu ila naamini mnatusikia.
 
Gladis, Emma, Emy na Emily nimewamiss kwenye haka kamtandao mko wapi waungwana?
 
Subira wewe ndo issue yaani toka.... simalizii ... hebu angusha kamstari tukusikie..
 
GQ, Siima, Primo, Elisha, Thomas, Jonafrey, Deo, Amosi, Kishaka nakosa busara na mawazo yenu mtaani hapa, Mko wapi waungwana?
 
Kama sikukutaja basi ujue deni lako ni kubwa zaidi nalivutia pumzi...... kwahiyo let us hear from you tupunguziane madeni.

Tulakemelwa Mhamilawa

unread,
Jul 26, 2007, 3:00:29 AM7/26/07
to LJSclas...@googlegroups.com


Wanaseminari mamboz!
 
Mtindo jamani longtime duuh!!mambo vp?mzima? za huko? za shule?nimefurahi sana kukusikia.
 
Kishaka upo?kimya kabisa mwanawane?


Looking for a deal? Find great prices on flights and hotels with Yahoo! FareChase.

Lilian Nsyenge

unread,
Jul 26, 2007, 4:22:27 AM7/26/07
to LJSclas...@googlegroups.com

Tula! Mambo safiiiiii! asante kwa salam. inafurahisha kukupata mtandaoni. Siku njema mpenzi.


From:  Tulakemelwa Mhamilawa <temha...@yahoo.com>
Reply-To:  LJSclas...@googlegroups.com
To:  LJSclas...@googlegroups.com
Subject:  [LJSclassof2000] Re: Habari
Date:  Thu, 26 Jul 2007 00:00:29 -0700 (PDT)


Don't just search. Find. MSN Search Check out the new MSN Search!

Mtindo Shilla

unread,
Jul 27, 2007, 8:31:21 AM7/27/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Tulakemelwaaaa.. :-) mi mzima kabisa, shule imebana sana ila Mungu anasaidia.. kweli longtime sana. Haya salam kwa Shemeji na Baby,
Mtindo

 

tusajigwe isaga

unread,
Jul 27, 2007, 10:58:49 AM7/27/07
to LJSclas...@googlegroups.com
mamboz wanasemiri
wazima lakini?mi sijambo kabisa hofu ni kwenu.
rhobi na bhoke poleni na maandalizi,sasa kachukueni  hela ya mchango  kwa martha namba yake ni 0713298220 anaishi ubungo kibo kazi anafanya wizara ya afya,na pia kadi ntampa yeye tu na nawatakia mafanikio mema.
nawatakia wote mafanikio mema


 

Luggage? GPS? Comic books?
Check out fitting gifts for grads at Yahoo! Search.

Ras Frah

unread,
Nov 27, 2007, 12:01:27 PM11/27/07
to LJSclas...@googlegroups.com
WASAAALAM...
Wana LJS wote napenda kuwakaribisha ktk kasherehe
kadogo hapa nyumbani kwa wazazi TONDORONI/KILUVYA MKOA
WA PWANI....
Nisherehe cha kujipongeza kwa kumaliza hii bpharm,
itakuwa tarehe 7th dec 2007, saa kumi na mbili jioni
kwa saa za africa mashariki(lat 45)
karibuni wote, kadi ni afya yako, karibuni
sanaaaaaaaaaaaa......!!!!!
karibuni harusi ya Cana, mapipa ya maji pia
yapo-GQ....!
MUNGU AWABARIKI WOTE

____________________________________________________________________________________
> Building a website is a piece of cake. Yahoo! Small
> Business gives you all the tools to get online.
> http://smallbusiness.yahoo.com/webhosting
>
>
>


CEO & PRESIDENT
"ZION PHARMACEUTICAL INDUSTRY"
Tel: +919894155529

"Bravery is not a quality of the body, it is of the soul"


____________________________________________________________________________________
Never miss a thing. Make Yahoo your home page.
http://www.yahoo.com/r/hs

Pam C. Maeda

unread,
Nov 27, 2007, 12:05:42 PM11/27/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Ras,
 
Hongera sana kumaliza shule, nakutakia kila la kheri na mafanikio katika kila ufanyalo. Natamani ningekuwepo kwenye hiyo sherehe, ila nitakuweka katika sala zangu.
 
Uendelee kubarikiwa,
 
PCM.

--
Play A Part In Stopping Genocide Visit  www.savedarfur.org


Every day in Africa a gazelle wakes up.
It knows it must run faster than the fastest lion or it will be killed.

Every morning a lion wakes up.
It knows that it must outrun the slowest gazelle or it will starve to death.

It doesn't matter whether you are a lion or a gazelle.
When the sun comes up, you better be running.

Abe Gubegna
Ethiopia, circa 1974

braille

unread,
Nov 27, 2007, 12:23:13 PM11/27/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Mzee Frank T. S .  Im just proud of you  bro, I look back and say you are the man..... Mungu akutangulie na kukujalia furaha na mafanikio tele.
 
Jamani tuungane na mzee Frank nae atupe yaliyojiri uhindini.......


brai...@hotmail.com
http://braillen.hi5.com
http://braille.hi5.com

Amos Malongo

unread,
Nov 27, 2007, 1:10:49 PM11/27/07
to LJSclas...@googlegroups.com
Hey Frank, aise nitamiss huo mnuso maana mimi kwa minuso nina shahada! Hahahaaa....Frank hongera sana my brother kwa hiyo accomplishment. Karibu katika uwanja wa madigrii. Nakutakia sherehe njema sana hapo Kibaha siku ya tarehe 7 Dec. Jitahidi umpate GQ kweli mimi nimempoteza kondoo huyu naamini namba yake ya simu bado ni: 0754 911371.
 
Tusa wewe na Frank vituko vyenu vinaniacha kinywa wazi hapa kila nikisoma baruapepe zenu, I hope you guys will enjoy siku ya harusi ya Tusa as well and am praying that it should be blessed by God na wanadarasa wajitokeze kwa wingi, ai isyu jamani! Natoa wito kwa harusi ya Kelvin as well.....naona sasa shughuli imeanza tunatakiwa kuwa active kuhakikisha kila anayeoa/olewa anapewa support ya kutosha...of course ndio malengo ya umoja! Benja, Frank, Braille, Pam, Amos, Kweka,Lilian Manase, Duah, Ben, Saphina,Rhobi, Fadhili, n.k msihofu mambo yatakuwa mazuri tu tutatoana mmoja baada ya mwingine,inapendeza!
 
Haya Kaka Braille wewe bado una kesi ya zile picha za class mates tuliokutana Houston...ukipata muda kamilisha,
Ben ombi lako nitalifanyia kazi muda mfupi ujao.
Otherwise nikutakieni juma jema katika kuzifanya kazi, shule na biashara na sherehe zenu!
Amos


Get easy, one-click access to your favorites. Make Yahoo! your homepage.

Lilian Nsyenge

unread,
Nov 28, 2007, 12:08:51 AM11/28/07
to LJSclas...@googlegroups.com

Mmishenari wa Kuchikuchi! Asante kwa mwaliko. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili yako kwani pamoja na hiyo bpharm na upastor pia jina "afya chafu" si lako tena naona umelikana kabisa kwa kuongeza supu mwilini kama Benard Konga. mashavu hinhaaaa! hhahahahahahaaaa! tuombe uzima Pastor. maandalizi mema



 


From:  Ras Frah <ras_...@yahoo.com>
Reply-To:  LJSclas...@googlegroups.com
To:  LJSclas...@googlegroups.com
Subject:  [LJSclassof2000] KARIBUNI........PWANI
Date:  Tue, 27 Nov 2007 09:01:27 -0800 (PST)
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages