Shule ya St Jude inamtafuta fundi ujenzi (contractor) kwa ajili ya marekebisho ya ujenzi katika kampusi ya Moshono
Fundi anatakiwa awe na vitu vifuatavyo
Kama unahitaji tafadhali tuma maombi kwa email tajwa hapo chini na uambatanishe nakala za dokumenti tajwa hapo juu.
kwa mawasiliano Zaidi piga simu number : 0684299880 / 0755 867244
email: off...@schoolofstjude.co.tz
Arusha