NO LUKO SALES BETWEEN 1 - 7TH AUGUST SO STOCK UP ON ELECTRICITY

90 views
Skip to first unread message

Info - Tanzania Mailing

unread,
Jul 29, 2015, 5:14:08 AM7/29/15
to arusha...@googlegroups.com

Message from Tanesco

 

Due to changes in the system sales of LUKO for Electricity will not be available between the 1st and 7th of August so make sure you load enough electricity into your meter before Saturday so you do not run out.

 

 

TAARIFA MUHIMU KUTOKA TANESCO

 

Wanataka kuubadilisha mfumo unaotumika sasa kuuza units za Luku ili kuondoa malalamiko na usumbufu uliopo hivi sasa

 

Hivyo, kuanzia tarehe 1 August hadi tarehe 7 August hakutakuwepo na mauzo ya umeme wa Luku ili  kupisha zoezi hilo.

 

Kwa wale mnaotumia umeme wa Luku, mnashauriwa kununua umeme wa akiba ili uwafae wakati huo  wa  tarehe 1 hadi 7 August.

 

Mtaarifu wa jirani yako

 

 

Tanzania-Mailing-BC

 

image001.jpg
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages