Well said Evans kazi ni kazi tu bora riziki inapatikana kwa njia
halali na mkono waenda kinywani baada ya shule we all go our separate
ways hata kama we were best of friends ndio maisha na vitendawili
vyake considering its nearly 13 years toka tumalize bunge so we are
all bound to change na hatuko vile vile tena kuna wengine wamekua
waongeaji, wakimya,warundu na mengineyo tuliokuwa na madukuduku yetu
sasa yanapata chance ya kujulikana its all about life we are all meant
to be different after mainstream schools kulingana na majaliwa na
mipango ya Mungu ni vijimambo tu
On Jun 24, 10:00 am, "Komu, Evans E" <
Ko...@stanbic.com> wrote:
> Msisikitike, jamaa nafasi bado anayo endapo atakuwa makini sababu huo
> ukonda anaoufanya hizo daladala ni miradi ya mama ake kwa
hiyo ukimuona
> yuko kwenye gari ujue hana kitu na vile hataki kufanya kazi mama ake
> huwa anambania kama anataka hela ni lazima apande kwenye gari kwahiyo
> kama ataamua kuwa serious na kuchukua total owner ya hizo gari sababu
> kitu cha mzazi wako its almost chako...anaweza kufanikiwa...wanafanikiwa
> makondaa atashindwaje yeye kama mmiliki?!
>
> -----Original Message-----
> From:
ex-b...@googlegroups.com [mailto:
ex-b...@googlegroups.com] On
>
> Behalf Of Ndeshiwona Malle
> Sent: 24 06 2009 08:41
> To:
ex-b...@googlegroups.com> Subject: RE: Tukumbushane old crushes-swali la kizushi lol!
>
> Inasikitisha but last time nimekutana na george lameck alikuwa konda
> kwenye dala dala la masaki posta na ilikuwa siku nyingi saaaana, Damas
> mbunga nilimkuta anafanyakazi kwenye canteen ya bungeni Dodoma.
>
> -----Original Message-----
> From:
ex-b...@googlegroups.com [mailto:
ex-b...@googlegroups.com] On
> Behalf Of bupe
> Sent: Tuesday, June 23, 2009 6:41 PM
> To: Ex-Bunge
> Subject: Re: Tukumbushane old crushes-swali la kizushi lol!
>
> mi salama tu mpendwa
> yeah
mwanahamisi bado yupo huku dah itabidi nimwambie habari njema
> hizi naye ajongee mtu mwingine Roselyne Bruno Kwelukilwa(yuko wapi
> huyu....last time niliongea naye alikuwa huku UK that was kama 3yrs ago
> sijamsikia tenaaaa mwenye habari zake tafadhali) Matrona
> George,Shamim,Sabrina Rashid dah itabidi walete mchango wao pia wenye
> habari zao tafadhali wadau
> Hivi kina Victor kaijage,George Lameck na wengineo wako wapi jamani?
>
> On Jun 23, 8:27 am, mcharo mlaki <
mcjml...@hotmail.com> wrote:
> > aahhh nipo dada,inakuwa vipi lakini? aisee Mwanaidi sijui yupo wapi
> mwanangu,i once saw her town,kitambo lakini....
>
> > halafu kuna faudhia,jamani alikuwa mfupi mfupi hivi...sijui karefuka
> now...mwanahamisi aliniambia yupo UK sijui karudi
now...!!
>
> > > Date: Mon, 22 Jun 2009 15:28:21 -0700
> > > Subject: Re: Tukumbushane old crushes-swali la kizushi lol!
> > > From:
bup...@yahoo..com> > > To:
ex-b...@googlegroups.com>
> > > hahhaaaa Mcharo Mcharo umejileta mwenyeweeeeeeee lol hivi mtu
> > > anayeitwa Mwanaidi Adam unajua aliko hebu mlete hapa basi daaaamnnn
> > > nakumbuka mbali sanaaaaaaaa
> > > kuhusu party dah ngoja nikumbuke au nikumbushe basi lipi lilitokea
> > > heheeeee(mi sikuwa na skendo i believe au??)
> > > nice to hear frm u ni muda umepita duh
>
> > > On Jun 22, 8:47 pm, mcharo mlaki
<
mcjml...@hotmail.com> wrote:
> > > > Bupe tuanze na weweee,paty darasa saba iliishaje?
>
> > > > > Date: Mon, 22 Jun 2009 08:10:56 -0700
> > > > > Subject: Tukumbushane old crushes-swali la kizushi lol!
> > > > > From:
bup...@yahoo.com> > > > > To:
ex-b...@googlegroups.com>
> > > > > Wapendwa wadau katika kuchangamsha tu kijiwe chetu hebu
> tukumbushane
> > > > > old crushes na secret admirers na ulichukua hatua gani katika
> hilo
> > >
> > (unakumbuka mambo ya kuandika vibarua na vinote teh teh teh je
> hayo
> > > > > yalikukuta???)unakumbuka nini katika zile party za mwisho wa
> mwaka?je
> > > > > ulifanya nini na ilikuwaje?
> > > > > karibuni sana nangojea ushirikiano wenu
>
> > > > _________________________________________________________________
> > > > More than messages-check out the rest of the Windows
> Live(tm).
http://www.microsoft.com/windows/windowslive/>
> > _________________________________________________________________
> > Drag n' drop-Get easy photo sharing with Windows Live(tm) Photos.
>
> >
http://www.microsoft.com/windows/windowslive/products/photos.aspx>
> ___________________________________________________________________________ __________________________________________________________
>
> Standard Bank email Disclaimer and confidentiality note
>
> This e-mail, its attachments and any rights attaching hereto are, unless the content clearly indicates otherwise, the property of
> Standard Bank Group Limited and its subsidiaries. It is confidential, private and intended for only the addressee.
>
> Should you not be the addressee and receive this e-mail by mistake, kindly notify the sender, and delete this e-mail immediately.
> Do not disclose or use it in any way. Views and opinions expressed in this e-mail are those of the sender unless clearly stated as
> those of Standard Bank Group..
>
> Standard Bank Group accepts no liability for any
loss or damages howsoever incurred, or suffered, resulting, or arising,
> from the use of this email or its attachments.
>
> Standard Bank Group does not warrant the integrity of this e-mail nor that it is free of errors, viruses, interception or interference.
>
> Licensed divisions of the Standard Bank Group are authorised financial services providers in terms of the Financial Advisory and
> Intermediary Services Act, No 37 of 2002 (FAIS).
>
> For information about the Standard Bank Group visit our website
http://www.standardbank.com> ___________________________________________________________________________ _____________________________________________________________