Habari wadau,
Kiambatanisho hapo juu ni barua ya kuwaalika wahusika katika kikao cha kujadili changamoto mbalimbali za Dawa na utatuzi wake. Tafadhali peleka ujumbe huu kwa wahusika tajwa katika barua. Asante na siku Njema.
Kwa msaada au taarifa Zaidi usisite kuwasiliana na Emilian Ng’wandu- engw...@agpahi.or.tz au Michael Bajile- mba...@gmail.com. Asante
Sincère,
Michael Y. Bajile,
Officier de programme, gestion pharmaceutique et chaîne d'approvisionnement | AGPAHI
Téléphone portable:+255 767 650 213