Hizi ni baadhi ya picha za mmoja wa waigizaji wa filamu nchini Tanzania akienda kwa jina la Lulu siku ya Birthday juzi alipotimiza miaka 18 , hivi wadau kwa mavazi ya namna hii tutafika? taifa lenye watu wanaoona fahari kukaa uchi litawezaje kuandika katiba mpya yenye maana?