Jiulize..

1 view
Skip to first unread message

JOHN MKUMBWA

unread,
Sep 24, 2010, 4:17:19 PM9/24/10
to lux...@googlegroups.com
Bila shaka mu wazima japo ukimya huu unanipa wasiwasi mkubwa.
Jiulize.
Una majina mangapi katika simu yako? Ni wangapi wako active? Ni nini
mnaongea kila siku? Je ni kwa maendleo au kupotezeana nguvu,muda na
hela?
Tafakari..

Mdoti Com-kom

unread,
Sep 25, 2010, 9:37:25 AM9/25/10
to lux...@googlegroups.com
Huu ukimya si wabure kama ulivyosema kaka!

Nije kwenye mada ya msingi, kwa kadri nionavyo mimi, No matter how stupid it may be seen. A talk even 2 a stupid is worth being done. So dont ever delete any number for u think is not worth.

JOHN MKUMBWA

unread,
Sep 26, 2010, 4:17:01 AM9/26/10
to lux...@googlegroups.com
Kweli kaka huu ukimya sio wa bure lazima kun jambo linaendelea labda wakirudi watatuambia kulikoniiii,

Tukirudi kwenye mada yetu ni kweli usemavyo, bcause you may think that its stupid communicating with some one talking non sense but one he/she may give you a constructive idea!

2010/9/25 Mdoti Com-kom <doti...@yahoo.com>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages