Aidha watu hawa wana mbinu ya kula njama na watumishi wasiokuwa
waaminifu. Ni muhimu mkafuatilia mienendo mbalimbali katika benk zenu
na sehemu zilizotajwa hapo juu pamoja na kuimarisha usalama julisheni
kwa message kupitia namba 0783034224 au kwa simu ya mdomo 0754-034224,
0787034224 , zote ni namba za Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Polisi
Dar es salaam.
Namba zingine za simu ni 0754- 276217, 0776880000 namba hizi ni za
mkuu wa Upelelezi Kanda maalum.
Lengo la maelezo si vitisho kwenu bali ni tahadhari muhimu , inayofaa
kuzingatiwa,
S. H. Kova - SACP
KAMANDA WA KANDA MAALUM
DAR ES SALAAM
--
NKUNGA,Ellis P
P.o.Box 21411,
Dar es salaam.
Cell:+255 717 187 742
Skype: e_nkunga
"An individual has not started living until he can rise above the
narrow confines of his individualistic concerns to the broader
concerns of all humanity"----Martin Luther King, Jr.
Mambo vp wana Bunge?
Jamani ni kweli maisha ni magumu au ni ugumu wa maisha tuwemakini sana
Kwa yeyote mwenye taarifa za Rashid Idrisa 7c naomba anipatie
|
| wewe kaka ya kweli hayo???tusije piga no hzo alafu tukapelekwa lupango haya mambo haya c ya mchezo kunyea debe kusikie tu. anyways ntasambaza hzo za taarifa za bwana kova. ova |
--- On Mon, 7/27/09, Nkunga,E.P <nku...@gmail.com> wrote: |
|
| hahaha hv huyo mtu yupo kweli waseme??????? una kumbukukumbu na wewe nakuaminia Eliamani --- On Wed, 7/29/09, Claire Lawrent <cla...@yahoo.com> wrote: |